Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

Hoja za Mpina hazikujibiwa si na Serikali wala Bunge badala yake alishambuliwa, kutishwa hatimaye kuadhibiwa kinyume na taratibu.

Nawe mleta uzi umejikita kwa Mpina personally kuliko hoja alizotoa indicating that hoja zake ni nzito hazijibiki!

Kama hoja zake zingejibiwa kwa vielelezo tungesema kweli ana lake jambo.
 
Kajamaa ni kapumbavu sana!

Ukimgusa Makamba na Samia huwa kana kuwa kqkali kama pilipili
Nilikuwa namuona mtu anayejua kujenga hoja, kumbe udini umempumbaza. Ni ngumu sana kujadili hoja na mtu wa aina hii
 
Wkt wa JPM nilikuwa naona kama ana hoja flani, kumbe ni kwa vile alikuwa ni magufuli john, hajui mantiki, hivi kweli leo yeye ni wa kuhoji eti mpina ana chuki, haoni kabisa hoja ktk maelezo ya mpina?! Halafu anasema eti aulizwe waziri aliyepo! Smh..
 
Kwahiyo wakusema ni mpina pekee? asiposema Aaaaaah Hamna habari serengeti inauzwa hamsemi akisema yeye mnamuona ni mkabila na mdini? umelogwa wewe
 
Ulifika Chuo Kikuu? Chuo gan? Na ulipata GPA ya ngapi?.

Unafiki tu ndo umfanye aende mahakaman? Mahakaman unaweza kwenda Kwasababu tu una unafiki?.

Roho inakuuma Kwa kua anawagusa wanakulipa Ma Bando ya kuingiliwa Mitandaoni?.

Tulishasema, mwenye Hoja na Facts zenye shahidi kama anavyofanya MPINA ,aziweke wazi, tutamsoma, tutamsikiliza, tutampima, tutafanya maamuzi.

Watanzania sio wajinga.
 
Wkt wa JPM nilikuwa naona kama ana hoja flani, kumbe ni kwa vile alikuwa ni magufuli john, hajui mantiki, hivi kweli leo yeye ni wa kuhoji eti mpina ana chuki, haoni kabisa hoja ktk maelezo ya mpina?! Halafu anasema eti aulizwe waziri aliyepo! Smh..
Rangi zao halisi zinaanza kuonekana kwa urahisi sana.
 
Hii nchi tuna kasumba za hovyo sana, mtu kaeleza alichokiona, badala apate majibu yatakayopangua hoja zake mtu anakimbilia ukabila, udini au ukanda.....! Hoja za Mpina SI za Leo ni za toka siku nyingi.
Hoja za kutolipwa CSR si waziri ni Biteko? Au Makamba ndio ana majibu? Mfano IPTL haijalipa fedha zetu sasa waziri si Biteko ama?
 
Kama ulikuwa na hamu ya swali usingeshangilia siku ile Mpina ameadhibiwa asihudhurie vikao zaidi ya kumi vya bunge, kwasababu kama shida yako ni swali kwa Biteko, hilo swali angeweza kuliuliza wakati wowote akiwa bungeni sio lazima iwe kwenye bajeti ya wizara.

Hivyo basi, kama ulikubali kufurahia ujinga wa Spika Tulia na ile kamati ya bunge aliyounda ili kumuadhibu Mpina, basi ujue hiyo ndio siku ulipomfunga Mpina mdomo asimuulize Biteko hilo swali lako, usimlaumu hana kosa, kosa ni lako.
 
Ulifika Chuo Kikuu? Chuo gan? Na ulipata GPA ya ngapi?.
Nina Msc ya UDBS na GPA ya 4.3.
Unafiki tu ndo umfanye aende mahakaman? Mahakaman unaweza kwenda Kwasababu tu una unafiki?.
Mahakamani inahusiana nini na hoja yangu kuhusu kutomuwajibisha Biteko ambaye ndiye waziri mwenye dhamana ya nishati? Analalamika ufisadi wizarani alafu hapo hapo anasema Makamba ndio anahusika? Sasa serikali kutodai pesa za IPTL inahusiana nini na Makamba ambaye sio waziri?
 
Tulishasema, mwenye Hoja na Facts zenye shahidi kama anavyofanya MPINA ,aziweke wazi, tutamsoma, tutamsikiliza, tutampima, tutafanya maamuzi.

Watanzania sio wajinga.
Nimewahi weka humu facts hizo hakuna aliyejibu. Hata wewe huna uwezo wa kujibu. Mfano nilihoji hoja ya Mpina kuwa kuna ufisadi wa Trillion 30 kwa mwaka mmoja tu wa bajeti 2021/22 nililuliza je kwa bajeti ya Trillion 44 je ina maana mishahara au deni la taifa halikulipwa mwaka mzima?

Jibu hili swali kama wewe kweli ni mfuasi wa MPINA ndio tujue kipimo cha IQ zenu.
 
Jibu swali, waziri wa nishati ni Biteko na mpaka napoandika hapa hatujalipwa hela za CSR, IPTL wala Cost-overruns je kwanini Mpina asimhoji Biteko?
Sio kila jambo la maslahi ya kitaifa alisemee yeye, Kuna issue ya priority
 
Huu ni uthibitisho kuwa ccm imeoza!
 
Tatizo wote humu hamjasikiliza video kabla ya comments. Mpina ameweka wazi kabisa kuwa kuna ufisadi wizara ya Nishati ndio maana hatujalipwa pesa za CSR, JNHEPP na IPTL.

Ila cha ajabu anamlaumu Makamba kwa huo ufisadi ilihali waziri ni Biteko. Sasa unataka hapo ajibiwe na makamba au Biteko? Kwanini Biteko hadai pesa za IPTL ilihali ndio waziri au January amemzuia?

Sikiliza video ndio ucomment
 
Yaani unataka tumshabikie huyo fisadi wa CCM ndio niwe mzalendo? Mimi napinga unafiki miaka yote, huwezi ukawa unapinga ufisadi alafu wewe unfocused kwa January na Bashe unaacha kina Biteko na Mavunde wanaofanya makosa yaleyale.
Una tatizo la kumpangia Mpina nini cha kuongea, au kama ni swali, unataka amuulize nani na asimuulize nani.

- Kama una ushahidi wa ufisadi wa Mpina tuwekee hapa nasi tuuone, au ukishindwa nawe nenda mahakamani kama Mpina alivyowaburuza wajomba zako kina Makamba, kinyume na hapo acha kelele zako.

Moreover, kama Mpina kamuuliza Makamba, wewe au mwingine yeyote umpendae muulizeni Biteko swali lenu, sioni shida hapo.

Kwa sasa unachotakiwa kufanya hakikisheni mnajibu maswali ya Mpina kwa facts, msihangaike kuhamisha magoli kama unavyofanya hapa.
 
Tatizo mkuu hujasikiliza video kabla ya comments. Mpina ameweka wazi kabisa kuwa kuna ufisadi wizara ya Nishati ndio maana hatujalipwa pesa za CSR, JNHEPP na IPTL. Na hili namuunga mkono kabisa kuwa CCM inanuka ufisadi

Ila cha ajabu anamlaumu Makamba kwa huo ufisadi ilihali waziri ni Biteko. Kwanini Biteko hadai pesa za IPTL ilihali ndio waziri au January kamzuia?

Hapa ndio mzizi wa hoja maana anakiri bado ufisadi upo ila anaogopa kumtaja Biteko? Why?
 
Sugar gap ni tani 95,000 nini nini kilimfanya Bashe aagize tani 410,000??

Kilo moja ya sukari wauza vocha mpaka inafika nchini kutoka nje ilikuwa 1900 pamoja na msamaha wa Kodi juu,je nini kiliwafanya wauza vocha wauze sukari kwa bei ya jumla kwa 2900 kwa kilo?
Maswali magumu ya Mpina!!
 
Sugar gap ni tani 95,000 nini nini kilimfanya Bashe aagize tani 410,000??
Maswali magumu ya Mpina!!
Hoja ni kuhusu makamba kwenye video hayo ya sugar gap nimeshajibu kwenye ule uzi wa Mpina kuenguliwa bungeni.

Jibu swali kwanini Biteko hajadai pesa za CSR ila lawama kwa Makmba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…