PreGE2025 Luhaga Mpina angalia timu yako unaonekana unatafuta huruma ya Wananchi kwa nguvu

PreGE2025 Luhaga Mpina angalia timu yako unaonekana unatafuta huruma ya Wananchi kwa nguvu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
325
Reaction score
651
Nimeangalia kihoja cha mwaka huu wa uchaguzi 2025. Huyu luhanga mpina anatafuta huruma kwa nguvu sana mana kashaona ngoma ni ngumu sana kutoboa licha ya kukinzana na viongozi wenzake huko ccm.

Hivi kweli mtu mwenye vision kama musa mbuga anaweza kumtuma mwanamke akamuue mpina.?? Hii bongo movie umetengeneza na watu wako ili msa mbuga aonekane sio katika jamiii

Ila hii ni mbinu ya kizamani sana unatumia na kila mtu ana kushangaa

Kwanza huna Impact yeyote kwa jamii. Unaongea pumba zako bungeni kutafuta jina lako likue tu na sivinginevyo

Mwaka huu utoboi hata uonge wajumbe wote.
Na tutakuwa tunatoa details zako moja baada ya nyingine mpaka useme nani aliekupa wazo la kumchafua msa mbuga ili upite bila kupingwa

Safari hii hizo habar hakuna bora uhamie act wazalendo kabisa.

Nyambafuuu.

Alafu kama ww ni kufa mbona utakufa tu hata watu wasikuua

Mbona kila nafsi itaonja Mauti

ACHA SIASA ZA KISHAMBA BASI NYIE NDIO MNAFANYA WASUKUMA WANAONEKANA WASHAMBA NA MABOYA.
 
SIkutaka hata kuiangalia hiyo drama ila anatumia mbinu za kichadema!
 
Back
Top Bottom