Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio Msukuma halisi ,mtanganyika mwenzetu ,sio wale wengine feki mashushu wa Rwanda waliojipenyeza kukwapua rasilimali za Tanganyika ,wamegawana vitalu vya madini yote kanda ya ziwa na kugawa mpaka upm.View attachment 3059835
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa
Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR mageuzi na CUF Lakini umati mkubwa ulikuwa ni Wanaccm waliovalia sare zao
Ahsanteni Sana 😂
Credit: Mfanyakazi Online
Hakuna mkubwa CCM kuliko mwenyekiti, mbona Mpina alikatwa NEC taifa na mkoa na hakuna kilichotokea. Huko CCM hakuna demokrasia, Mwenyekiti anachoamua ndio kinakua.Anaempa hizo zilizosababisha akafungiwa ni mkubwa kuliko huyo aliemfukuza na kumfungia uwakilishi wake Bungeni!
Stop gaslighting, he's heading into a political oblivion!! Never expect a CCM crony to be a patriot, most are just opportunists who are frustrated by their exclusion from the corruption coffers!!Undisputed luhaga mpina. A man with brass balls among all mbogamboga comrades.
Wana spirit ya namna ganiHawana Evilspirit dhidi yake
Ya upendoWana spirit ya namna gani