Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
Pia, Soma:
Picha na Video: Jambo TV
- Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili