Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
Pia, Soma:
Picha na Video: Jambo TV
Mwamba mpina is back.
 
Huyu mwamba Tulia alitumika kuzuia madai yake dhidi ya mawaziri kuhusu ufisadi yasisikilizwe na bunge. Kisha akatekeleza kumuadhibu Mpina bure mtu mzalendo aliyekua mkweli kuhusu ufisadi wa mawaziri bashe na gwigulu. Ni speaker fisadi tu licha ya maigizo yake.

Hebu niambie... Kwani huyoo mvaa kilemba ana uwezo wa kutengeu uteuzi wa mbunge?😏
Sifahamu unamuongelea nani.
 
Ila ajiangalie sana ikiwezekana hata chakula Kantini asile wana hasira naye sana.
Hii tahadhari ya kutokula hovyo ameanza kuichukua siku nyingi sana.......tangu enzi zile alipowapima kwa rula samaki waliopikwa.
 
Njaa haina mbabe, amewahi posho za vikao
ulitaka aendelee kutega kama wale wabunge wako? amemaliza ahdabu ya kidharimu amerudi kuwatumikia wananchi wake full stop....
NB:
Mjiandae kwa spana zaidi!!
 
Huyo mshamba wa kisukuma anapambania tumbo lake hampambanii yeyote, shida ni kukosa uwaziri. Ni fisadi tu amewanyanganya wananchi ardhi yao kule Morogoro. Lilivyo jinga anafikiri anaweza kushindana na Rais, Rais ni jitu kubwa sana huwezi shindana nalo. Akamfufue yule mshamba mwenzake ndiyo atarudi kuwa waziri. Lofa hilo
Naona umevurugwa mkuu
 
Mbona unaandika ujinga namna hii aisee! Kwani hii nchi ni ya Nani hadi ufike huko kote? Kama we ni kijana hautaweza kutunza familia maana kichwani hamna kitu!
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
Pia, Soma:
Picha na Video: Jambo TV
Rais
Rais
Rais
Rais
Rais!
Makofi tafadhali.
 
E
Njaa haina mbabe, amewahi posho za vikao
Wewe mjinga sana, unadhani huko bungeni kaenda peke yake kufata posho?
Mpina kaenda baada ya muda wa adhabu kuisha, kama ni posho hàta mbunge wako askofu gwàjima yumo humo bungeni.
 
E
Wewe mjinga sana, unadhani huko bungeni kaenda peke yake kufata posho?
Mpina kaenda baada ya muda wa adhabu kuisha, kama ni posho hàta mbunge wako askofu gwàjima yumo humo bungeni.
Sijamuongelea Gwajima, nimemuongelea Luhaga Mpina, mjinga mwenzio
 
a
Aendelee kuwapigania wananchi asiwaogope mafisadi na wachumia tumbo zao
 
Back
Top Bottom