Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
huyu mbunge ananikumbusha kauli hii... upinzani wa kweli unatakiwa utoke ndan y ccm. anajtahd kupambana ingaw hana comeback y wbunge wenzake wte n machawa t.

Huyu mwamba ni jeshi la mtu mmoja. Aibu kwa speaker kuzima hoja yake dhidi ya ufisadi wa mawaziri Bashe na Madilu. Ndio mjue tuna speaker mlinda ufisadi kwa hivyo mwenyewe atakua fisadi. Tulio na uwezo wa kuelewa tulielewa vizuri shutuma alizotoa Mpina za ufisadi aliyofanya waziri Bashe. Tulia akalibeba labda kwa maelekezo toka serikalini kuzima moto na kumgeuzia kibao Mpina. Viva Mpina. Umma wa wananchi wako nawe hadi kieleweke.
huyu mbunge ananikumbusha kauli hii... upinzani wa kweli unatakiwa utoke ndan y ccm. anajtahd kupambana ingaw hana comeback y wbunge wenzake wte n machawa t.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo.
Huyu mwamba Tulia alitumika kuzuia madai yake dhidi ya mawaziri kuhusu ufisadi yasisikilizwe na bunge. Kisha akatekeleza kumuadhibu Mpina bure mtu mzalendo aliyekua mkweli kuhusu ufisadi wa mawaziri bashe na gwigulu. Ni speaker fisadi tu licha ya maigizo yake.