Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

Mwamba mpina is back.
 
Sifahamu unamuongelea nani.
 
Ila ajiangalie sana ikiwezekana hata chakula Kantini asile wana hasira naye sana.
Hii tahadhari ya kutokula hovyo ameanza kuichukua siku nyingi sana.......tangu enzi zile alipowapima kwa rula samaki waliopikwa.
 
Njaa haina mbabe, amewahi posho za vikao
ulitaka aendelee kutega kama wale wabunge wako? amemaliza ahdabu ya kidharimu amerudi kuwatumikia wananchi wake full stop....
NB:
Mjiandae kwa spana zaidi!!
 
Naona umevurugwa mkuu
 
Mbona unaandika ujinga namna hii aisee! Kwani hii nchi ni ya Nani hadi ufike huko kote? Kama we ni kijana hautaweza kutunza familia maana kichwani hamna kitu!
 
Rais
Rais
Rais
Rais
Rais!
Makofi tafadhali.
 
E
Njaa haina mbabe, amewahi posho za vikao
Wewe mjinga sana, unadhani huko bungeni kaenda peke yake kufata posho?
Mpina kaenda baada ya muda wa adhabu kuisha, kama ni posho hàta mbunge wako askofu gwàjima yumo humo bungeni.
 
E
Wewe mjinga sana, unadhani huko bungeni kaenda peke yake kufata posho?
Mpina kaenda baada ya muda wa adhabu kuisha, kama ni posho hàta mbunge wako askofu gwàjima yumo humo bungeni.
Sijamuongelea Gwajima, nimemuongelea Luhaga Mpina, mjinga mwenzio
 
a
Aendelee kuwapigania wananchi asiwaogope mafisadi na wachumia tumbo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…