Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Afande Mafwele anapiga jaramba huko ale kichwa hiki.MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache .
Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake
View: https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
No Reforms ,No Election!!!
Amejichimbia anatunga mashairi ya taarabu!Mama anaandaa mistari huko ya vijembe
Safi sana..mimi kama Mwanakijiji wa Mwandoya namkubali sna huyu.mbunge wangu.MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache .
Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake
View: https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
No Reforms ,No Election!!!
Kuna mtu anakwenda kurusha taulo kwa aibu.Na bado mtaona baada ya bunge kuvunjwa mpaka mawe yataongea
Mkuu, huna downloadable video format tofauti na hii ya youtube utuwekee hapa?MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache .
Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake
View: https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
No Reforms ,No Election!!!
Tutaendea Kwenye Mikutano Ya Chadema Na Matumizi Mbalimbali Ya Kinyumbani Haswa Vijijini,,Tunawashukuru Wametuletea Vifaa Vya Mazoezi...Sasa zile baiskeli walizogawa itakuwaje Aiseeee!
We're gonna repaint them into people's colours and redistribute them to our people. 😆😆Sasa zile baiskeli walizogawa itakuwaje Aiseeee!
Huyu maza ni dikteta na katili haswa, anapenda sifa na utukufu kuliko hata MUNGU
Sitaki hata kumuona ni mtu hatari na dikteta haswa anapenda kutukuzwaAngalia taswira yake
Kishampigia simu Hadija Kopa ili amsaidie kumpatia mistari ya mipashoAmejichimbia anatunga mashairi ya taarabu!
Amefanana sana na Mzee ruksa.Angalia taswira yake
Ahapa, XX Aapa✓✓MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache .
Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake
View: https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
No Reforms ,No Election!!!
Usiweke matumaini yako makubwa huko!Na bado mtaona baada ya bunge kuvunjwa mpaka mawe yataongea