Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hivi ni baada ya CCM kutoa majina ya wagombea.
Nakwambia Amos Makala amekoswa pozi alipofika jimbo la kisesa na amejikaza kisabuni.Sasa wampeleke Abdul akagombee wajinga hawa
Aseee hii imeendaRais alitoa maagizo kwa Wana CCM kwamba Mpina aachiwe yeye
Msema ukweli wa TZ either atekwe or akose kazi😡😡😡😁😁ndioooooooo !!!ndo hawa watawala wanataka kusikia ,Mpina alikosea kutaja shida za wanajimbo.. wake !!! ilibidi ajipendekeze km gasho ndo aendelee kuhudumuHivi ni baada ya CCM kutoa majina ya wagombea.
NdioAende chadema makamanda watampokea kwa shangwe, vifijo na nderemo😎
Sahihi kabisaHistoria itamkumbuka kwa ushujaa wake
Atagombea TuHivi ni baada ya CCM kutoa majina ya wagombea.