GE2025 Luhaga Mpina atupwa nje Ubunge Jimbo la Kisesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama yenu alishamfanyia "Character assassination" ile siku ukitegemea chawa wa mama waende kinyume nae?

Hakuna mtu mwenye akili timamu alitegemea jina la Mpina kurudi kwa yanayeoendelea sisiem sasa hivi. Ndiyo maana Gwajima hata hajajisumbua kuomba ridhaa.,ka-mute.

Chama kimekuwa cha hovyo,kiongozi mkuu nae ndiyo hivyo Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…