GE2025 Luhaga Mpina atupwa nje Ubunge Jimbo la Kisesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
The real Aftican people
 
Sijui Zitto Kabwe hali ikoje huko aliko baada ya Swahiba wake kutupwa nje ya kinyang’anyiro

Shujaa aliwavumilia mno 🐼
 
Amepigwa chini, sasa ngoja tukafuatilie mashamba aliyodhulumu Morogoro, tutahamasisha wananchi wayavamie wagawane, akiomba polisi wazuie hatutoi polisi
 
Yule alishaambiwa asiweke jina atapangiwa viti maalumu,lakini aliweka jina sijui kama ile ofa ya ubunge wa serikali kama bado upo.
Ila anaweza kupewa kazi maalumu ya kupima samaki kwa Lula nchi zima kudhibiti wavuvi haramu.
 
Unamkomoa mtu wakati huijui kesho yako...
Anaweza akafa yeye anayejihisi ndo kashika mpini ..

Hatujasahau bado yaliyotokea.
 
Kwa hiyo anaenda wapi huyu, cdm, chauma au act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…