dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina
Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu.
Au tuseme zote hizo tuhuma za sukari Ilikuwa uzushi na uongo kwa kosa la kunyimwa uwaziri katika awamu hii ya Rais Samia Sululu ndio maan Mpina akawa mwiba chungu kwa Mawaziri wengi.
Soma Pia:
Luaga mpina wee ni Muoga, wewe una chuki hi nafsi moyoni mwako, na kuwa Spika Tulia alikuwa sahih kukutUpa nje ya Bunge kwa kusema uongo na uzandiki.