Luhaga Mpina aungana na Bashe na kutuacha midomo wazi wakati sisi tulitaka huu mgogoro udumu milele

Wasukuma ni wanaf
Mleta mada huna akili hata chembe,hutumii common sense ,na wengine wote mliochangia kutukana wasukuma ,eti wasukuma nyoko nyoko wote vichwani mwenu watupu kbs.

Mpina alitoa hoja yake ya sukari dhidi ya Bashe,hoja ilijadiliwa bungeni tunajua,Mpina alimpinga Bashe suala linalohusu sukari ila kumbuka Bashe Bado ni waziri,na ameenda pale kama waziri wa kilimo,mlitaka waziri wa kilimo aende jimboni kwake alafu mbunge wa pale asusie kuhudhuria kisa hoja ya sukari? Huo ni wendawazimu Sasa!
Hamjui kuwa waziri ni mwakilishi wa rais kwenye wizara ya kilimo!!! , Bashe akiwa Waziri ni serikali direct,kumgomea kisa hoja ya sukari ni kuonesha immaturity ya hali ya juu,lakini Pia kumgomea waziri ni kumgomea mwenyekiti wake wa chama aliyemteua waziri huyo ,Ebu mkue muache ujinga wa kutukana wasukuma,most of wasukuma Wana upeo mkubwa wa mambo na ni viongozi wa mfano kuliko nyie wakabila wakubwa nyie
Wasukuma wengi ni minafiki kummkkzenu
 
Kazi ni kwako.
Screenshot_20240612-103559_1.jpg
 
Wasukuma tutaendelea kuwa hazina ya nchi, Mpina ni mtaka maendeleo hawezi kususia ziara ya Waziri wa CCM
 
Kwani ile kesi ambayo Luhaga angemfungulia Bashe kuhusiana na Sakata la sukari amejitoa?
 
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina

Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu.

Au tuseme zote hizo tuhuma za sukari Ilikuwa uzushi na uongo kwa kosa la kunyimwa uwaziri katika awamu hii ya Rais Samia Sululu ndio maan Mpina akawa mwiba chungu kwa Mawaziri wengi.

Soma Pia:
Luaga mpina wee ni Muoga, wewe una chuki hi nafsi moyoni mwako, na kuwa Spika Tulia alikuwa sahih kukutUpa nje ya Bunge kwa kusema uongo na uzandiki.
Unamuamini mwanasiasa hasa wa Tanzania? Utakuwa huna akili
 
Napigilia msumali..
Wasukuma ni
1 Wachawi sana, mtu anaweza akuroge ili tuu usipate choo..
2. Wachafu sanaa, kujisaidia nje ni jambo dogo sana kwao
3. Wezi sana, tena wizi wa vitu vya ajabu, mtu anayeiba kandambili huyo ni mwizi au juha?
4 Wanaroho mbaya tofauti na tulivyokua tunaaminishwa...
5. Wabinafsi sana, mgeni hufanyi jambo kwao kirahisi.
6. Mifumo ya kibabe, umeenda kwao mgeni, eti lazima ujiunge sijui na nzego, na unalipia, Hapa niliwapa somo likaeleweka.

Note Experience hii ni ya Wasukuma wa Bariadi, wanawaita sijui wanyantunzu, tena kwa mda mfupi sana...

Nasubiri mashambulizi, kutoka katika kila pembe ya nchi.
Potelea kote, lawama hapewi mbuzi.
Wewe unahamu ya KUZALISHWA au KUZALISHIWA na dume la kisukuma....na nakuhakikishia hutamuacha huyo MSUKUMA.

hizo ni chuki.
 
Mleta mada huna akili hata chembe,hutumii common sense ,na wengine wote mliochangia kutukana wasukuma ,eti wasukuma nyoko nyoko wote vichwani mwenu watupu kbs.

Mpina alitoa hoja yake ya sukari dhidi ya Bashe,hoja ilijadiliwa bungeni tunajua,Mpina alimpinga Bashe suala linalohusu sukari ila kumbuka Bashe Bado ni waziri,na ameenda pale kama waziri wa kilimo,mlitaka waziri wa kilimo aende jimboni kwake alafu mbunge wa pale asusie kuhudhuria kisa hoja ya sukari? Huo ni wendawazimu Sasa!
Hamjui kuwa waziri ni mwakilishi wa rais kwenye wizara ya kilimo!!! , Bashe akiwa Waziri ni serikali direct,kumgomea kisa hoja ya sukari ni kuonesha immaturity ya hali ya juu,lakini Pia kumgomea waziri ni kumgomea mwenyekiti wake wa chama aliyemteua waziri huyo ,Ebu mkue muache ujinga wa kutukana wasukuma,most of wasukuma Wana upeo mkubwa wa mambo na ni viongozi wa mfano kuliko nyie wakabila wakubwa nyie
Pointi kubwa.
 
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina

Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu.

Au tuseme zote hizo tuhuma za sukari Ilikuwa uzushi na uongo kwa kosa la kunyimwa uwaziri katika awamu hii ya Rais Samia Sululu ndio maan Mpina akawa mwiba chungu kwa Mawaziri wengi.

Soma Pia:
Luaga mpina wee ni Muoga, wewe una chuki hi nafsi moyoni mwako, na kuwa Spika Tulia alikuwa sahih kukutUpa nje ya Bunge kwa kusema uongo na uzandiki.
Bado hujasema Hadi useme 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_3WOfcth6C/?igsh=OGM2c2Ftb2tvYTJp
 
Ccm wanajua kucheza na akili za watanzania
Mpina alikuwa anaigiza hana uwezo wa kupishana kauli na Bashe aliyeteuliwa na mwenyekiti wa chama chake
 
M
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina

Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu.

Au tuseme zote hizo tuhuma za sukari Ilikuwa uzushi na uongo kwa kosa la kunyimwa uwaziri katika awamu hii ya Rais Samia Sululu ndio maan Mpina akawa mwiba chungu kwa Mawaziri wengi.

Soma Pia:
Luaga mpina wee ni Muoga, wewe una chuki hi nafsi moyoni mwako, na kuwa Spika Tulia alikuwa sahih kukutUpa nje ya Bunge kwa kusema uongo na uzandiki.
Mimi sio mmoja wa watu ninaoamini katika ugomvi,mifalakano ama kutokuelewana kwa wanasiasa,mana atakaeumia ama kufaidika ni mnufaika wa mwisho ambae ni sisi wananch,so kama wamepatana na kukubaliana kilichobora kwa manufaa ya wananch wa Luhaga then acha iwe ivyo
 
Luaga ameshindwa kukaa fuvu
 
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina

Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu.

Au tuseme zote hizo tuhuma za sukari Ilikuwa uzushi na uongo kwa kosa la kunyimwa uwaziri katika awamu hii ya Rais Samia Sululu ndio maan Mpina akawa mwiba chungu kwa Mawaziri wengi.

Soma Pia:
Luaga mpina wee ni Muoga, wewe una chuki hi nafsi moyoni mwako, na kuwa Spika Tulia alikuwa sahih kukutUpa nje ya Bunge kwa kusema uongo na uzandiki.
Tulisema hapa sie watanzia kila jambo ambalo linaipa shutuma serikali sie tunalishadadia tuh na kuanza matusi
Alaf hamjifunzi .,atakuja mwanasiasa mwingine na utumbo wa kiki mtamskiza tenaa
 
Wewe unahamu ya KUZALISHWA au KUZALISHIWA na dume la kisukuma....na nakuhakikishia hutamuacha huyo MSUKUMA.

hizo ni chuki.
😝😝😝 Pains hit direct to the Nerve Endings and caused traumatic nerve damage which resulted to the loss of consciousness.
 
Back
Top Bottom