Luhaga Mpina aungana na Bashe na kutuacha midomo wazi wakati sisi tulitaka huu mgogoro udumu milele

Wasukuma ni wanaf Wasukuma wengi ni minafiki kummkkzenu
 
Wasukuma tutaendelea kuwa hazina ya nchi, Mpina ni mtaka maendeleo hawezi kususia ziara ya Waziri wa CCM
 
Kwani ile kesi ambayo Luhaga angemfungulia Bashe kuhusiana na Sakata la sukari amejitoa?
 
Unamuamini mwanasiasa hasa wa Tanzania? Utakuwa huna akili
 
Wewe unahamu ya KUZALISHWA au KUZALISHIWA na dume la kisukuma....na nakuhakikishia hutamuacha huyo MSUKUMA.

hizo ni chuki.
 
Pointi kubwa.
 
Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C_3WOfcth6C/?igsh=OGM2c2Ftb2tvYTJp
 
Ccm wanajua kucheza na akili za watanzania
Mpina alikuwa anaigiza hana uwezo wa kupishana kauli na Bashe aliyeteuliwa na mwenyekiti wa chama chake
 
M
Mimi sio mmoja wa watu ninaoamini katika ugomvi,mifalakano ama kutokuelewana kwa wanasiasa,mana atakaeumia ama kufaidika ni mnufaika wa mwisho ambae ni sisi wananch,so kama wamepatana na kukubaliana kilichobora kwa manufaa ya wananch wa Luhaga then acha iwe ivyo
 
Luaga ameshindwa kukaa fuvu
 
Tulisema hapa sie watanzia kila jambo ambalo linaipa shutuma serikali sie tunalishadadia tuh na kuanza matusi
Alaf hamjifunzi .,atakuja mwanasiasa mwingine na utumbo wa kiki mtamskiza tenaa
 
Wewe unahamu ya KUZALISHWA au KUZALISHIWA na dume la kisukuma....na nakuhakikishia hutamuacha huyo MSUKUMA.

hizo ni chuki.
😝😝😝 Pains hit direct to the Nerve Endings and caused traumatic nerve damage which resulted to the loss of consciousness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…