Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Harambi jimbo msimuu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpina hajitambuiLucas Mwashambwa njoo ububujikwe na machozi jumla na rejareja, mama yako hatakiwi LUMUMBA
Kati yako na Mpina nani hajitambui? Machozi kutiririkaMpina hajitambui
WatajeKivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa
Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili
================
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya utakatishaji wa fedha haramu, hali inayoiweka nchi kwenye hatari ya kuingizwa katika orodha ya uangalizi maalum wa Kikosi Kazi cha Kimataifa cha Kudhibiti Utakatishaji wa Fedha (FATF).
Akizungumza na wanahabari kuhusu maoni yake kwa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Mpina amebainisha kuwa Tanzania inapoteza takriban dola bilioni 1.5 za Kimarekani (sawa na shilingi trilioni 3.3) kwa mwaka kutokana na utoroshaji wa fedha kwenda nje ya nchi.
Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu
Ameeleza kuwa hivi karibuni kumekuwa na madai ya utoroshaji mkubwa wa fedha unaofanywa na baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali, akisisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti ili kudhibiti tatizo hilo na kulinda uchumi wa taifa.
Nyie si ndiyo mlishangilia kwamba mungu amehamulia ugomvi, what's going on now?.Ila Samia aisee huyu mama sio kabisa...hii Nchi sijui tulikosea wapi,eti Rais ni Samia!!!?Mwee
Sio mimi mkuuNyie si ndiyo mlishangilia kwamba mungu amehamulia ugomvi, what's going on now?.
Acheni mama apige kazi bana wewe, mlipewa mkashindwa kumlinda kelele nyingi ooh siyo huyu muuherg!!
Tuwe kama Kongo siku moja, hata tuanze kuwa na migambo ya kutulinda sioCorrupted country,ukipata gap piga tu.
Na mtamchagua tena.Ila Samia aisee huyu mama sio kabisa...hii Nchi sijui tulikosea wapi,eti Rais ni Samia!!!?Mwee
Kabisa, ila wana miaka sita tena; ya kupiga.Usipotajirika awamu hii basi hutajiriki tena.