Pre GE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndo maana miradi haishi. SGR lot 3, 4 and 5 kutoka Dom hadi mwanza imekwama sasa ni mwaka wa tatu.
Na tumeona mikopo kibao ikichukuliwa. Na serikali including TRC yenyew iko kimya.
Sijui wanategemea nini

Tanzanians wangekuwa wanahoji sana. Watu wangezitapika hizo hela


Lakini pia. Ni upumbavu wa hali ya juu kuiba pesa za maendeleo ndani ya nchi kuzipeleka kwenye mabenk ya ulaya. Hamna tofauti na mtoto wa kiume kumuibia pesa baba yake na kuhonga mademu zake. Ni bora uibe hela na kuwekeza hapa nchini
 
Nchi hii inaibiwa kama vile tunatakiwa kuhamia mwezini
 
Wataje
 
Ila Samia aisee huyu mama sio kabisa...hii Nchi sijui tulikosea wapi,eti Rais ni Samia!!!?Mwee
Nyie si ndiyo mlishangilia kwamba mungu amehamulia ugomvi, what's going on now?.

Acheni mama apige kazi bana wewe, mlipewa mkashindwa kumlinda kelele nyingi ooh siyo huyu muuherg!!
 
Sasa ngoja tumsubiri tumbili wetu aje hapa na hoja eti ya kumshambulia Mpina. Mbwa ni mbwa tu hata akivikwa mabaka atabaki kuwa mbwa tu akinenepa kwa makombo anayotupiwa chini ya meza.
 
Na kunatatizo lahawa ma friimason vijana wanavuta pesa kichawi wakiulizwa wanapozitoa wanajidai wanalima,wanachimba madini etc.
Tunaomba noti ya Elfi kumi zibadilishwe walioficha mahela kwenye magunia watuambie wamezipata Kwa shughuli gani halali? Wakishindwa kujieleza zitaifishwe zikaboreshe mashule YETU na huduma nyingine za kijamii
Cc kinachifu godlov et al
 
Nikiandika sitayamaliza ila mjue tu kabila fulani wana asili ya uvivu.
Mtu mvivu unawezaje kuongoza nchi ukafatilia mafaili hata miradi,sina hakika kama ana hata mda wa kupitia mafaili na ndo asili ya wanawake wengi.Nilishaleta uzi wa kuongozwa na wana mama si ajabu kukuta ofisi imefungwa kumbe kiongozi mwanamama yupo kwake amelala.
Mnafanya masihara sana hivi kivipi mtu kama huyu anakuwa raisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…