Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo
Luhaga Mpina
"Serikali imesema imeweka ruzuku ya TSh 259 mwezi Mei 2026 na Tsh 535 kwa lita mwezi Juni 2026 ili kupunguza makali ya bei ya mafuta jambo ambalo si kweli. Bei hazikupungua na Serikali haikutoa Tangazo la Serikali (GN) ya ruzuku hiyo. Huku ni kuwadanganya Watanzania na kufuja fedha za umma."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACTwazalendo
Luhaga Mpina