Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mbona Malawi baba imlishusha tangu juzi, ila Malawi mama bado inaboresha bei, tukumbuke Malawi baba inachukua mafuta toka Tanga na Dar es Salaam.Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
"Bei ya mafuta imeshuka katika soko la dunia kutoka Dola 112.9 kwa pipa moja hadi kufikia Dola 87.3 takriban imeshuka kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka kwa kiwango hicho hapa nchini."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo
Luhaga Mpina
"Serikali imesema imeweka ruzuku ya TSh 259 mwezi Mei 2026 na Tsh 535 kwa lita mwezi Juni 2026 ili kupunguza makali ya bei ya mafuta jambo ambalo si kweli. Bei hazikupungua na Serikali haikutoa Tangazo la Serikali (GN) ya ruzuku hiyo. Huku ni kuwadanganya Watanzania na kufuja fedha za umma."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACTwazalendo
Luhaga Mpina
Ila bei zikipanda duniani,hoja ya stock ya zamani haifanyi kazi au siyo!!Bado tunauza stock ya zamani, kwa hiyo kaa kwa kutulia mpina
Tulilipa hela nyingi sana kwa hii stock wakati ukimshangilia trump ukidhani atakusaidia
Bongoland ikipanda imepanda ! Bidhaa zote zinapanda ! Nauli zote zinapanda ila bei ikishuka kwa ground bei zipo palepale nauli palepale hadi tunazoea 👍Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.