GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.

Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.

Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.

“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema Mpina.

Screenshot_20250814-124452.png
 
“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema

CCM walishajua watanganyika ni wajinga na mazwazwa hata ukiwadanganya mchana kweupe wanakubali. Mpina bado akili iko CCM ndo maana ana apply uongo uleule wa ki ccm
 
Anaongea hivyo ili kuonewa huruma na time ya uchaguzi
 
Wameuza barabara tuwe tunalipia?
Mpina hapo umewaokota Wasukuma...🤣
 
Without reforms ,unajichekesha tu .CCM hii ninayoijua au kuna nyingine
 
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.

Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.

Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.

“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema Mpina.

Maneno ya Luhaga mpina ni ya kujifariji tu. Naamini kwa hili dude liitwalo CCM, anachoweza kushinda bila kikwazo ni kushinda njaa tu.
 
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.

Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.

Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.

“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema Mpina.

Ht mwehu hawezi kusema hivyo
 
Back
Top Bottom