Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.
Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.
Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.
“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema
Maneno ya Luhaga mpina ni ya kujifariji tu. Naamini kwa hili dude liitwalo CCM, anachoweza kushinda bila kikwazo ni kushinda njaa tu.Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.
Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.
Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.
“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema Mpina.
Ht mwehu hawezi kusema hivyoLeo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.
Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuirejesha kwa wazalendo.
Amesisitiza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kuhakikisha kila Mtanzania anatendewa haki bila upendeleo.
“CCM tutawashinda na watasaini matokeo. Safari hii tunaenda kuing’oa madarakani ili tuirejeshe nchi hii kwa wananchi,” amesema Mpina.
Acha ukabila we kibwengoWameuza barabara tuwe tunalipia?
Mpina hapo umewaokota Wasukuma...🤣
Wanachadema wameshangilia sanaDah na kuna watu wameshangilia
Sasa hapo ukabila uko wapi, Wasingekua wasukuma asingewadanganya hivyo....Acha ukabila we kibwengo