Unajua fix zikizidi sana watanganyika watakudharau - hivi huyu jamaa anawafanya watanganyika ni marofa saana kiasi cha kutowatambua vizuri CCM ?
Yaani ni hivi huyu jama hata kama angeamua kugombea udiwani huko kwao - CCM ndiyo wangeamua wampe ama wasimpe, leo eti Urais - ha ha ha ha ha.
Angekuwa anaipenda Tanganyika kwa dhati kabisa angeungana na hao wanaotaka Reforms kwanza.