Luhaga Mpina: Inawezekanaje wagombea wa chama kimoja jimbo zima wamekosea kujaza fomu?

Luhaga Mpina: Inawezekanaje wagombea wa chama kimoja jimbo zima wamekosea kujaza fomu?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM.

Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.

Soma pia: Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Nimejiuliza tu, hivi kwa post hii, Luhaga Mpina atakuwa salama kweli au ndo watamfukuza uanachama na automatically kumvua Ubunge.

Luhaga Mpina.png
 
Unafikiria Mchengerwa na Mtoto Rais watakutwa na mguvu umma na fujo ? Watatoroshwa na nguvu ya dola popote walipo....wewe na mimi tutakatana mapanga kuuana wenyewe wajo dubai....wanatucheka ...kulimda maslahi yao wakituita hatuna elimu na masinini tuna stahiki hayo....ķwrli waziri Tamisemi anatakiwa kujiudhuru kwa kashfa hii lakini sababu ni familia na nkwe....atasifiwa ujinga wake wa karne
 
Hilo la tanzania eti tupigane mpaka viongoz wakimbie sio kwel,haliwezekan

Maisha hayajawa magumu hvyo mpaka tupigane na polis wenye bunduki
 
Kiukweli huyu mama hafai kabisa.haiingii akilini eti wapinzani wote wamekosea.Huu usenge huu tunatakiwa tuwe kama wakenya kumshughulikia huyu mama Kwa maandamano yasiyo na kikomo
 
Kifua cha mkwe (Mchengerwa) alichokisifia mama mkwe kimestahimili dhulma kubwa kama hii
 
Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.
Jamii inayojitambua

Soon tweeter itafungiwa kwa kisingizio cha uchochezi
 
Mpina kaongea kitu sahihi japo ndo kajenga uadui zaidi na baadhi ya watu
 
Mkuda tu huyo mshamba. Haijui vizuri hii nchi, atapotezwa bila madhara yoyote. Analeta uchochezi? Lofa hilo.
Pumbafu na mjinga wewe usiyejitambua! Unafikiri nchi yako hii? Nchi yetu sote hii wewe fala!
 
YOTE HAYA YANA MWISHO.
Ipo siku kizazi kijacho kitakataa ujinga,tunaona mabadiliko kwa majira na nchi marafiki,mabadiliko yanavyitokea.
Wanaozuia mabadiliko,aibu inawaumbua,kwani wanatumia nguvu kubwa kupindisha ukweli.

Zimbabwe,uchaguzi uliisha kwa sintofahamu,na sasa Msumbiji uchaguzi wao uliambata na nguvu za watawala kukiuka na kutozingatia taratibu za uchaguzi.
Sisi [TANZANIA]bado hatujifunzi:Watawala walipo unda tume ya maoni,na kuja na Maoni kuwa wengi wanataka chama kimoja Mwalimu Nyerere,alipinga na kusema Maoni ya waliotaka vyama vingi yazingatiwe kulingana na uhalisia wa hali Duniani.

Sasa mbona tunaogopa wananchi kuchagua viongozi wanaowakubali.

Yanayoendelea sio afya kwa Taifa machoni mwa Dunia na kizazi kijacho.

Dhuluma ikizidi inajenga chuki ya muda mrefu.
 
Maza amefuata nyayo za mwendazake kwa asilimia 100, sioni wapi wanatofautiana.
 
Back
Top Bottom