Aseme tu ukweli, wanaoshipaza shingo kwa uongo mwisho wao upo karibu.Wakuu,
Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM.
Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.
Soma pia: Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24
Nimejiuliza tu, hivi kwa post hii, Luhaga Mpina atakuwa salama kweli au ndo watamfukuza uanachama na automatically kumvua Ubunge.
Unafikiria Mchengerwa na Mtoto Rais watakutwa na mguvu umma na fujo ? Watatoroshwa na nguvu ya dola popote walipo....wewe na mimi tutakatana mapanga kuuana wenyewe wajo dubai....wanatucheka ...kulimda maslahi yao wakituita hatuna elimu na masinini tuna stahiki hayo....ķwrli waziri Tamisemi anatakiwa kujiudhuru kwa kashfa hii lakini sababu ni familia na nkwe....atasifiwa ujinga wake wa karneWakuu,
Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM.
Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.
Soma pia: Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24
Nimejiuliza tu, hivi kwa post hii, Luhaga Mpina atakuwa salama kweli au ndo watamfukuza uanachama na automatically kumvua Ubunge.
Jamii inayojitambuaImefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.
Pumbafu na mjinga wewe usiyejitambua! Unafikiri nchi yako hii? Nchi yetu sote hii wewe fala!Mkuda tu huyo mshamba. Haijui vizuri hii nchi, atapotezwa bila madhara yoyote. Analeta uchochezi? Lofa hilo.
Kaungana na Mbowe kukaa kimya,Yule jamaa wa TLS Mwambukusi si alisema atawasaidia wagombea kujaza form? Imeakuaje