Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana.
Wengi huko ni wasaka fursa, fursa ambazo huwezi kuzipata ukiwa upinzani na wengine wako katika hicho chama ili wabaki salama baada ya kutupiga.
Huyu bwana nae akipata uteuzi atatulia kimya na hawezi kuwa kama Mrema wa miaka ya 90 mwanzoni aliyeweka uwaziri wake rehani kutetea na kulinda nchi yake.
Nawashangaa sana wadanganyika kwanini hatujifunzi ili hali tuna mifano mingi ya watu wa aina hii.
Kwakuwa hakuna mtawala anaependa kelele hasa kutoka kwa watu wa chamade chake, sitashangaa akalamba uteuzi ili anyamaze.
Swali ni je, kila anaepiga kelele ataweza kumpa uteuzi?
Kazi kwake.