GE2025 Luhaga Mpina Kuzindua Kampeni za Urais Saa 6:01 Usiku wa Agosti 28

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema atazindua rasmi kampeni zake mara tu baada ya saa sita na dakika moja usiku wa tarehe 28 mwezi huu, muda ambao umetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ndio mwanzo rasmi wa kampeni.

Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Jimbo la Kisesa mkoani Simiyu, Mpina alisema ataitumia siku hiyo kutoa hotuba ya masaa sita kupitia vyombo vya habari, akieleza kwa kina mipango na mikakati aliyojiwekea ya kubadilisha taifa.
 
Chama hakina ilani ya uchaguzi?
 
Amekosea sana kwenda chama cha kikwete
 
Back
Top Bottom