Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mpina anataka urais ilhali hajui hata aina ya mradi wa mwendokasi inatakiwa kuwa vipi.

Upinzani kumejaa mabogus yanayodanganya wananchi kila mara.
 
Mpina anataka urais ilhali hajui hata aina ya mradi wa mwendokasi inatakiwa kuwa vipi.

Upinzani kumejaa mabogus yanayodanganya wananchi kila mara.
Unaweza kusema sababu ya kuondolewa kwa kodi kwa faida ya wanaopotosha na kupotoshwa?
 
Mpina anataka urais ilhali hajui hata aina ya mradi wa mwendokasi inatakiwa kuwa vipi.

Upinzani kumejaa mabogus yanayodanganya wananchi kila mara.
Mradi ulianzia barabara ya Morogoro na wakajidai kuziondoa daladala, mwisho wa siku wakazirudisha na hakukua na ushindani wowote. Barabara ya Mbagala ukisubiri mwendokasi toka Kivukoni ambako hakuna daladala za Mbagala, itakuchukua zaidi ya dakika 40 kupata basi, nasisitiza Kivukoni hakuna basi za Mbagala.
Mofat ni ya wakubwa, ruti zake ni fupi lakini viwango vya nauli ni vikubwa sana kuliko vya Kivukoni Mbezi huku mabasi ya Mofat yanatumia nishati ya gesi ambayo ni nafuu kuliko dizeli.
Mofat will be more fatter and fatter.
 
Back
Top Bottom