Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Miradi ya cartel inayomiliki TANGANYIKA..as simple as that
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
Unaweza kusema sababu ya kuondolewa kwa kodi kwa faida ya wanaopotosha na kupotoshwa?Mpina anataka urais ilhali hajui hata aina ya mradi wa mwendokasi inatakiwa kuwa vipi.
Upinzani kumejaa mabogus yanayodanganya wananchi kila mara.
TAGA hilo, utapoteza muda.Unaweza kusema sababu ya kuondolewa kwa kodi kwa faida ya wanaopotosha na kupotoshwa?
Mwekezaji wa mwendokasi ni Nani na mwendeshaji wa mabasi mkoani ni Nani.
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
Mradi ulianzia barabara ya Morogoro na wakajidai kuziondoa daladala, mwisho wa siku wakazirudisha na hakukua na ushindani wowote. Barabara ya Mbagala ukisubiri mwendokasi toka Kivukoni ambako hakuna daladala za Mbagala, itakuchukua zaidi ya dakika 40 kupata basi, nasisitiza Kivukoni hakuna basi za Mbagala.Mpina anataka urais ilhali hajui hata aina ya mradi wa mwendokasi inatakiwa kuwa vipi.
Upinzani kumejaa mabogus yanayodanganya wananchi kila mara.