Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

Watanzania wanalia vitu vinapanda bei kila siku alafu ushauri unatolewa kama huu Spika anaupuuza
 
mbona wabunge makini bado wapo kwanini ushauri wao hausikilizwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…