Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

Sijui ni Kwa nini watetezi wa ccm na serikali yake hawataki Haya mambo yanyooke Kama ruler. Tunajenga nyumba ya kuishi pamoja Tanzania na Kama kuna magumashi toka Kwa fundi ujenzi yatupasa tumrukie Kama mwewe… ccm Ndugu zangu , Kama hizi habari za mpina ni za uongo, mwambie amwage ushadihi na sio kuchafuana…
Kama ni za kweli, Kwa kweli zitoleeni ufafanuzi …watanzania tumechoka na ufisadi…msije Shangaa watu kuanza kujitoa muhanga halafu muanze kumtafuta mchawi…mutachelewa sana.
 
hapo akiambiwa lete evidence utacheka hadi kumuonea huruma,

utaskia nimepata ushahidi kutoka kwenye blog ya fulani 🤣
Wewe tulia hujui lolote zaidi ya kukata mauno huku.
Tuulize sisi ambao tunaifaam vizuri hii loan kutoka EXIM bank ya Singapore, the mnanengua huku mkisema eti Mama mama

Huwa tuna wachekigi sana nyie wanenguaji ila vile nyie ni wanenguaji tuu siyo rahisi kujua tone ya Music mmnounengulia
 
mbona gentleman umebaki na mihemko na makasirko tu na huna pweinti?

Relax bana,
na itapendeza zaidi kuliko kuweweseka hivyo 🐒
 
mbona gentleman umebaki na mihemko na makasirko tu na huna pweinti?

Relax bana,
na itapendeza zaidi kuliko kuweweseka hivyo 🐒
Ndo ukweli wenyewe huo,

Hawa Exim bank hatutakaa tuweze kuwalipa sio leo wala kesho,

Kila kitu hata tundu la choo mnaimba mama mama, ila leo mnatembeza bakuli kwa mafisadi, je wakiwafisadi mtaweza kweli kuwakemea,

Mtawakemea kwa sauti yenu ya kizenjiiii
 
UWT nyie ni kukata viuno kwenye majukwaa hizi mambo ni ngumu kuelewa
UWT Yenye maana ilikuwa ni ile ya Akina Bi Sofia Kawawa, Bi Titi and the Likes of , Margareth Sitta , Anna Abdallah (Msekwa), Getrude Mongella and the similars, not this current UWT ambayo inatumika vibaya pasipo wao kujua au wanajua ila wanafumbia macho wakati wako na nafasi ya kushauri kwenye Chama chao pale Viongozi wao wanapokiukwa misingi na Miiko ya Uongozi Bora ambayo waasisi wa Chama hiki waliiweka.
 
Mpina aling'ara kwakuwa nyuma yake alikuwepo JPM, mawaziri wa AWAMU ya tano ambao walionekana kuwa na uwezo mkubwa ki-utendaji, ukiwaleta sasa hivi ni wachovu!
Nadhani style ya sasa ndo mbovu hawawezi kuwa Compartible. Wao walikuwa wazuri kipindi kile na sasa bado wako vizuri, tunaangalia kilichoko kwenye vichwa vyao na vile walivyokuwa wakitenda kazi. Hawajabadilika mfumo wa sasa ndo hauko sawa. Mesi au Ronaldo ili waonyeshe ujuzi wao wanahitaji kucheza na wachezaji wengine wazuri pia, wakiwa pia na Team Captain mzuri na Technical Bench iliyosimama sawa sawa, hapo utaona na utafurahia Vipaji vyao.
 
UWT Yenye maana ilikuwa ni ile ya Akina Bi Sofia Kawawa, Bi Titi and the Likes of , Margareth Sitta , Anna Abdallah (Msekwa), Getrude Mongella and the similars, not this current UWT ambayo inatumika vibaya pasipo wao kujua au wanajua ila wanafumbia macho wakati wako na nafasi ya kushauri kwenye Chama chao pale Viongozi wao wanapokiukwa misingi na Miiko ya Uongozi Bora ambayo waasisi wa Chama hiki waliiweka.
Sure hii UWT ya akina Lucas Mwashambwa imejaa majitu majinga haswa
 
Huyo Mamluki anasapoti chochote cha Mama, huwa haelewi chochote, ni zaidi ya mbumbumbu
Kama ambavyo nawewe unapinga chochote cha mama.Jambo ni lile lile kila mtu katika mtazamo wake.Kwahiyo kama yeye ni mbumbumbu nawewe halikadhalika.Kwasababu binadamu hatufanani mitazamo wala natarajio.
 
Hatupo Bungeni. Tunataka kusikia sera za kuivusha Tanzania kutoka ilipo kwenda Uchumi wa kwanza. Kama hajajiandaa na hilo ahesabu atapata kuru za wale ambao hawasikii Wala kuambiwa juu Luhaga!
 
Back
Top Bottom