Luhaga Mpina: Mwigulu Nchemba, Mbarawa, Mkurugezi wa TRC na wote waliohusika wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

Ila suala la TRC kwenye mabehewa sio la kufumbia macho. Zaidi ya asilimia 80% ya pesa inayotakiwa iliongezeka.
 
Mawaziri na viongozi wa Serikali hawana hatia kwa sababu walishaagizwa watafune nchi👇
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi mnapomuona namba 1 mnaona kuna mtu pale?
 
Akasema kuwa amejiridhisha suala la kutumia mzabuni mmoja ni wizi rushwa na ufisadi, na hivyo anapendekeza kamati ya PAC kuvunja mkataba wa TRC kati ya Yapi Merkezi Rot 1 & 3 na kuitangaza upya.
Hayo maneno ukiondoa TRC na kuweka TPA; na ukiondoaYepi Merkez na kuweka DP World, utakuwa umezungumzia uhujumu ule ule kama anaozungumzia hapa Mpina.

Tofauti kidogo itakuwepo kwenye DP World kwa uhusika wa moja kwa moja wa Rais wa nchi kuihujumu nchi anayoiongoza yeye.
 
CCM ni laana...utatoa huyu ukiona anapiga, utaweka mwingine ambaye atatafuna hadi akiba...
 
Bungeni unasema tu chochote unachojisikia,hakuna wa kukudai uthibitisho
Hakuwahi kuagizwa humo humo Bungeni kuleta uthibitisho wa Waziri mkuu kupuuzwa; na akaupeleka?

Kati ya yeye na wewe nani "anayesema tu chochote anachojisikia" mahali popote kama mwenda wazimu.
 
Hivi single source procurement ilianza lini?
Alipo iruhusu Samia. Hukusikia akitetea muundo huo wakati wa kumpata kontrakta wa SGR, kipande kinachoelekea Burundi?

Mataizo yote ya ufisadi yanaanzia kwa huyo mama sasa hivi.
 
Kuna namna nyingi ya kuwasahaulisha mkataba wa DPW ambao hapo hadharani!!!
 
Hakuwahi kuagizwa humo humo Bungeni kuleta uthibitisho wa Waziri mkuu kupuuzwa; na akaupeleka?
Kati ya yeye na wewe nani "anayesema tu chochote anachojisikia" mahali popote kama mwenda wazimu.
Hawashitakiwi,ndiyo maana wanapayuka tu,chenge alikua akiwataka waseme nje ya bunge Kama Wana uhakika na kauli zao, fiscal year ya Tanzania haifiki trilioni 200,hizo zilizoibwa zimetoka wapi!?
 
Huyu jamaa lazima wajumbe walikate jina lake 2025,kwani chama chake hakija zoea kuambiwa ukweli. Hapo husishangae siku wakimwita na kumuonya kwa kuongea ukweli...
Watu kama Mpina ni muhimu kuwepo ili Ku maintain system of checks and balances.

Hata kama takwimu zao zinatia shaka.

Chama makini lazima kiwape kipaumbele hawa kabla ya wale wapuuzi wa kusifu na kuabudu.

Hata hivyo, wajumbe hawaaminiki (rushwa, kusifu na kuabudu ni changamoto).
 
Hawashitakiwi,ndiyo maana wanapayuka tu,chenge alikua akiwataka waseme nje ya bunge Kama Wana uhakika na kauli zao, fiscal year ya Tanzania haifiki trilioni 200,hizo zilizoibwa zimetoka wapi!?
Kwa hiyo wewe unajua huko serikalini hakuna ubadhirifu. Hakuna wezi?

Kwa hiyo sheria zipo kuwalinda wezi?
 
Watu kama Mpina ni muhimu kuwepo ili Ku maintain system of checks and balances. Hata kama takwimu zao zinatia shaka...
Sasa kwenye chama chake ni vice versa, ukiwa mkweli wanakuweka pembeni.
 
Tatizo ni giggy money wetu ndo kikwazo na jeuri yote hiyo inatoka kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…