Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.
Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda kura..

Swali la kujiuliza ni kwamba kwa mwenye akili timamu unaendaje kwenye uchaguzi wakati viongozi wote wa tume ya uchaguzi wamechaguliwa na mtu mmoja ambae ni mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi?

Ccm wenyewe wanalilia reforms, chadema wanalilia reforms, viongozi wa wa dini ukitoa wale mashehe ubwabwa wanalilia reforms, asasi za kiraia wanalilia reforms inashangaza ACT hawalioni hilo na wameshupaza shingo kushirikiana na wapiga dili wa ccm kunadi uchaguzi.

Hii ni aibu kwenu ZZK, MPINA na ACT kulaghai wananchi kwamba uchaguzi utakua huru na haki, hivi mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho na nyinyi ni waerevu? Busara ni muache ujinga na muungane na wenye mapenzi mema kudai reforms kabla ya uchaguzi acheni tabia za kimalaya malaya.

Over.
 
Mpina kajivunjia heshima
 
Back
Top Bottom