Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao
Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia sana kuondolewa uwaziri na Prof.Assad kuondolewa u CAG
Wataalamu wa saikolojia wasaidieni wajue kuna maisha nje ya vyeo
Mtoe MPINA kwenye Hilo.
Ukimgisa MPINA ni kama vile kichwani mwako Hauna ubongo, umejaza matope.
Kwan anachokipigania MPINA ni Uongo? Uzushi?? Ni chake binafsi??.
Kuhusu Prof Assad , tatizo lake, amelichukuliaa suala lake kibinafsi sanaaaa .
Sijamuona Profesa Assad akifura hata siku moja.Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao
Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia sana kuondolewa uwaziri na Prof.Assad kuondolewa u CAG
Wataalamu wa saikolojia wasaidieni wajue kuna maisha nje ya vyeo
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Hujuwi kulia ni afya?
Au ndiyo shule za kusomea ujinga ?
SanaProf Assad anahitaji msaada kwa kweli