Luhaga Mpina na Prof. Assad ni wanasiasa wanaoongoza Tanzania kwa kuumia kuondolewa vyeo walivyokuwa navyo

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao

Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia sana kuondolewa uwaziri na Prof.Assad kuondolewa u CAG

Wataalamu wa saikolojia wasaidieni wajue kuna maisha nje ya vyeo
 
Mtoe MPINA kwenye Hilo.

Ukimgisa MPINA ni kama vile kichwani mwako Hauna ubongo, umejaza matope.

Kwan anachokipigania MPINA ni Uongo? Uzushi?? Ni chake binafsi??.

Kuhusu Prof Assad , tatizo lake, amelichukuliaa suala lake kibinafsi sanaaaa .
 
FaizaFoxy , The Boss njoo umsome jamaa anamkosoa muislamu anayelia lia kuondolewa cheoni.
 
Mtoe MPINA kwenye Hilo.

Ukimgisa MPINA ni kama vile kichwani mwako Hauna ubongo, umejaza matope.

Kwan anachokipigania MPINA ni Uongo? Uzushi?? Ni chake binafsi??.

Kuhusu Prof Assad , tatizo lake, amelichukuliaa suala lake kibinafsi sanaaaa .

Prof Assad anahitaji msaada kwa kweli
 
Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao

Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia sana kuondolewa uwaziri na Prof.Assad kuondolewa u CAG

Wataalamu wa saikolojia wasaidieni wajue kuna maisha nje ya vyeo
Sijamuona Profesa Assad akifura hata siku moja.

Sufi yule, humuwezi hata nukta. Utafanya kila njia ku assassinate character yake hutoweza.
 
Chawa huwa anawaza VYEO, NAFASI, UTEUZI, UCHAGUZI.

Nje ya hapo kichwani ni mweupe hadi sio poa.
 
Naam, umeniita? Tatizo nini?

Hujuwi kulia ni afya?

Au ndiyo shule za kusomea ujinga ?

Hujuwi❌
Hujui✅
Wewe nadhani Madras ulifundishwa upumbavu. Sisi madras tulijifunza uelewa.Hakuna mwenye akili analia lia hadharani kama toto bwege. Lenye madeko. Kulia lia si afya ya akili kutokuwa sawia. Wanaume hatutembei tunalia lia tu kama matahira.
 
Back
Top Bottom