GE2025 Luhaga Mpina: Nitashinda Urais kwa zaidi ya asilimia 70

GE2025 Luhaga Mpina: Nitashinda Urais kwa zaidi ya asilimia 70

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Mpina amesema kuwa yeye na Chama chake wamejipanga, ambapo amesema kwamba licha ya kubakia na siku 45 za kufanya kampeni lakini zinawatosha kuzunguka kwenye majimbo yote ya kiuchaguzi.


FB_IMG_1757588509217.jpg
 
Huu sasa mzaha! CCM hii aishinde? Mpina anafanya comedy
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
😂😂aaah tutafika tu kwani ni mbali basi
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Mpina amesema kuwa yeye na Chama chake wamejipanga, ambapo amesema kwamba licha ya kubakia na siku 45 za kufanya kampeni lakini zinawatosha kuzunguka kwenye majimbo yote ya kiuchaguzi.
Walau ninaweza nikawaza sasa kupiga kura..
 
Another joke please
Nilisema sihami Tanzania hadi TCRA walipoingilia kati juzi
 
Huu sasa mzaha! CCM hii aishinde? Mpina anafanya comedy
Nimemsikia mgombea mmoja wa urais kutoka chama kimoja cha 'wakati wa uchaguzi' nadhani ni NLD, anasema atashinda na akishaapishwa, nikacheka sana.

Hawa watu wanafanya michezo ya akina Joti na Mpoki
​
 
Ccm hii ni ya kugawana 30% na vyamb vingine wakati ACT ikipata 70%? Haya itakuwa ni maajabu ya dunia na yataingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia, Mpina aache mzaha kwa watu wenye akili kubwa
 
Yeye mwenyewe anajua ukweli ila ndio hivyo wameisha tuona kama matako yao Kwa hiyo wana ropoka tu.
 
Back
Top Bottom