Luhaga Mpina: Serikali iliahidi kuleta Mikataba ya IGA ya DP World Bungeni lakini mpaka sasa hamna kitu!

Kwa Tanzania inshort inchi hipo Autopilot mpaka tume huru hitakapo kuwepo
 
CCM wote ni mabandindu hakuna mtu msafi anaweza kuwa CCM hata Mpina ni bandidu
 
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.

Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??

Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
DP WORLD ni janga kwa taifa letu
 
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.

Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??

Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
Kamatia hapohapo
Usimung'unye wala kutema!!
 
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.

Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??

Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
Atakula nao sahani moja
 
Kile ni kitabu. Ni kama vile Katoa manifesto ya wapinzani 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…