Luhaga Mpina: Serikali iliahidi kuleta Mikataba ya IGA ya DP World Bungeni lakini mpaka sasa hamna kitu!

Luhaga Mpina: Serikali iliahidi kuleta Mikataba ya IGA ya DP World Bungeni lakini mpaka sasa hamna kitu!

MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.

Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??

Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
 

Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 2
Kutegemea matokeo kwa jambo unalo lijua, yaani hawawezi kuleta kwasababu walibadilisha gia angani

Expecting results from what you know
 
Kile ni kitabu. Ni kama vile Katoa manifesto ya wapinzani 2025!
Kwakweli Ile ya Jana ilikua ni Ilani ya uchaguzi

Jamaa anatoa speech Masaa matatu Kwa energy ileile aloanza nayo.

Kagusa Kila kitu yaan Kila kitu kakigusa.
 
Back
Top Bottom