milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Jan 30, 2025 #21 Carlos The Jackal said: MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??. Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja?? Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?. Click to expand... Attachments IMG-20250128-WA0054.jpg 142.5 KB · Views: 2
Carlos The Jackal said: MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??. Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja?? Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?. Click to expand...
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jan 30, 2025 #22 zerominus10 said: johnthebaptist Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe LIKUD bila kumsahau ChoiceVariable Click to expand... Huyo mpina awahishwe Mirembe tu.
zerominus10 said: johnthebaptist Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe LIKUD bila kumsahau ChoiceVariable Click to expand... Huyo mpina awahishwe Mirembe tu.
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Jan 30, 2025 #23 Inside10 said: Hao wote wapo kundi hili sample yao hi hawa makada hawaelewi kituView attachment 3218157 View attachment 3218158 Click to expand... Huyu atakuwa Lucas Mwashambwa
Inside10 said: Hao wote wapo kundi hili sample yao hi hawa makada hawaelewi kituView attachment 3218157 View attachment 3218158 Click to expand... Huyu atakuwa Lucas Mwashambwa
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Jan 30, 2025 #24 Kutegemea matokeo kwa jambo unalo lijua, yaani hawawezi kuleta kwasababu walibadilisha gia angani Expecting results from what you know
Kutegemea matokeo kwa jambo unalo lijua, yaani hawawezi kuleta kwasababu walibadilisha gia angani Expecting results from what you know
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Jan 30, 2025 Thread starter #25 Black Label said: Kile ni kitabu. Ni kama vile Katoa manifesto ya wapinzani 2025! Click to expand... Kwakweli Ile ya Jana ilikua ni Ilani ya uchaguzi Jamaa anatoa speech Masaa matatu Kwa energy ileile aloanza nayo. Kagusa Kila kitu yaan Kila kitu kakigusa.
Black Label said: Kile ni kitabu. Ni kama vile Katoa manifesto ya wapinzani 2025! Click to expand... Kwakweli Ile ya Jana ilikua ni Ilani ya uchaguzi Jamaa anatoa speech Masaa matatu Kwa energy ileile aloanza nayo. Kagusa Kila kitu yaan Kila kitu kakigusa.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Jan 30, 2025 #26 zerominus10 said: johnthebaptist Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe LIKUD bila kumsahau ChoiceVariable Click to expand... Gentleman, ni muhimu zaidi kuelewa kinagaubaga anachouliza sio kukurupuka na kubwekabweka tu 🐒
zerominus10 said: johnthebaptist Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe LIKUD bila kumsahau ChoiceVariable Click to expand... Gentleman, ni muhimu zaidi kuelewa kinagaubaga anachouliza sio kukurupuka na kubwekabweka tu 🐒