GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja, na hawana matibabu ya afya.

 
Ameshindwa kujieleza kama angeshinda uchaguzi wa ndani CCM angehama chake ? Na kwanini ACT inasemwa sana kama CCM B. Hadi wajumbe wa ACT walikuwa wameduwaa.
 
Back
Top Bottom