Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.📌🔨Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
Vijana wa Kitanzania tuamke ,Mengi yanakuja kama hamjauzwa wazee wa vitano tena,mkapakwepakwe tufuta sijui kwakweli!
Huwa yupo humu ndio .Mzee wa Trab na Trap nadhani ni memba wa JF akuje hapa atoe maelezo.
Na Dola ikarihusu ya Dodoma, mambo ya ajabu kabisaHuyu bibi wa kizimkazi anakwenda kuzamisha hili jahazi, afurushwe mapema huyu mtu kichwani ni sufuri hamna kitu.
Tu-macho twa Prezidaa wetu twumekaa kimahaba..Mwigulu na huyu mrembua macho wake had waondoke deni litakua trion mia3
Moderators please fanyeni KAZIHuu ujinga wote tumeletewa na huyu mwanamke
Kazi kuzungusha shanga kwenye ndege alizonunua Magufuri
Sio vyema kutumia lugha chafu kwa Rais wako, pengine mama yako.Huu ujinga wote tumeletewa na huyu mwanamke
Kazi kuzungusha shanga kwenye ndege alizonunua Magufuri
Muda tu mtetezi wa deni letu la Taifa Kafulila atajitokeza.Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
Una mwanasheria au na wewe unataka free beira boy.........rekebisha kauli zako........mjini hapa..........ngoja wakuone wasioonekana na kujulikanaHuu ujinga wote tumeletewa na huyu mwanamke
Kazi kuzungusha shanga kwenye ndege alizonunua Magufuri
Hivi kumbe hotuba jana ilikuwa inamjibu Mpina?Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.