Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Acha kutisha watu Beira kaongea ukweli
Mi sijamtisha kwanza hata sihishi huko kwa miaka 9 sasa......ila najaribu kum kumbusha kuwa hayo mapicha yake ya dp na kauli zake asije kulia lia
 
Burkina Faso wamemaliza kulipa deni ndani ya miaka 2 sisi ndiyo kwanza tuna kopa zaidi, hizi fedha huwa zinakopwa kwa kazi ipi?
 
Kwa hiyo tuamini maenen ya kuhimilika?
One this gov anasema deni linakua, mpina anasema limebaki asilimia chache. Tukope tuuu just bcause limebaki asilimia chache?
Kukopa ni lazima .Kwani kukopa kuna shida gani?
 
Huu ujinga wote tumeletewa na huyu mwanamke

Kazi kuzungusha shanga kwenye ndege alizonunua Magufuri
Mpuuzi wewe. Huyu Mama kanunua ndege nyingine tatu, kaunganisha wafanyabiashara wengi wazalendo na wale wa kigeni.

Anaimalizia SGR ambayo JPM aliiacha karibu nusu ya safari. Anafanya mengi makubwa lakini kimya kimya anatuachia mashahidi tujionee wenyewe.
 
Kukopa ni lazima .Kwani kukopa kuna shida gani?
Kukopa si lazima, hakuna sheria duniani inasema hivyo. Narudi pale pale kwenye technicality , hii kauli ya deni ni himilivu si ngeni? But reality ni nini? Imebaki asilimia chache tufikie ceiling?

Hatuwez jiendesha bila mikopo?
 
Kukopa hakuhitaji sheria ni takwa na hitaji la maendeleo.

Ukitaka kuendelea lazima ukope.
 
It 2025 kuna muafrika anaamin eti kuendelea mpaka ukope 🤣🤣, ndio maana tume stuck aise
Sio swala la kuamini ni swala la namba na facts na kanuni za Uchumi.

Hata iwe 2100 kukopa ni lazima ndio maana umeshindwa kueleza ubaya wa kukopa.
 
Back
Top Bottom