Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Rais akiwa ni sehemu yake usingetegemea Shirika la Umma la TBC kudharau shughuli za Bunge.

Aidha kipekee niipongeze sana Kampuni ya Azam Media ambayo mtandao wake unazidi kusambaa kila siku na kuzihudumia nchi jirani za Kenya, Uganda, Zimbabwe na Malawi.
Lakini pia jambo kustaajabisha AZAM Tv ambacho ni chombo binafsi lakini kinalipa heshima na uzito unaostahili Bunge la Tanzania kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja (live coverage) bila kukatakata kuanzia kipindi cha maswali na majibu saa 3 asubuhi hadi saa 7 kamili mchana.