kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Rais akiwa ni sehemu yake usingetegemea Shirika la Umma la TBC kudharau shughuli za Bunge.

Aidha kipekee niipongeze sana Kampuni ya Azam Media ambayo mtandao wake unazidi kusambaa kila siku na kuzihudumia nchi jirani za Kenya, Uganda, Zimbabwe na Malawi.
Lakini pia jambo kustaajabisha AZAM Tv ambacho ni chombo binafsi lakini kinalipa heshima na uzito unaostahili Bunge la Tanzania kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja (live coverage) bila kukatakata kuanzia kipindi cha maswali na majibu saa 3 asubuhi hadi saa 7 kamili mchana.
Kwangu mimi nibora kuangalia vituko vya joti kuliko bunge. Inakera watu wanakula mamilioni yakodi na hamna lamaana unaona wanalifanya zaidi ya kuvaa suti
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi...
Kwangu mimi nibora kuangalia vituko vya joti kuliko bunge. Inakera watu wanakula mamilioni yakodi na hamna lamaana unaona wanalifanya zaidi ya kuvaa suti
Kwangu mimi nibora kuangalia vituko vya joti kuliko bunge. Inakera watu wanakula mamilioni yakodi na hamna lamaana unaona wanalifanya zaidi ya kuvaa suti
Tafadhali Bi FaizaFoxy, nani ambaye ana uwezo wa ku stream online? Mabando yanakata bila mpangilio na vocha zimepanda bei. Hivi kwann hii awamu ya Sita inachezewa hivi?
Nafikiri TBC wako sahihi. Leo nimelazimika kuanalia TBC kuaniza kipindi cha maswa kwa waziri mkuu hadi michango ya wabunge katika bajeti ya wizara ya ujenzi, naona wako sahihi kuonyesha vitu vingine badala ya Bunge.
Ni mchango wa Prof Muhongo pekee kati wachangiaji wa saa nnne nilizotumia kuangalia ndio uliokuwa na mantiki.
Bunge hili hakina sifa ya kuitwa hivyo ni mkusanyiko wa watu wasioelewa wamekwenda kufanya nini, ndio wamejazana.
Jambo zuri ni kwamba idadi ya wasio hidhuria nj kubwa kiasi unajiuliza ili kikao kifanyike kunahitajika idadi ipi ya wabunge?
NB: Ujumbe wangu kwa taasisi za Umma acheni kuwalazimisha wateja wenu kuangalia channel mnayodai ya umma, hata kama vipindi vyake havifai.
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Rais akiwa ni sehemu yake usingetegemea Shirika la Umma la TBC kudharau shughuli za Bunge.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Rais akiwa ni sehemu yake usingetegemea Shirika la Umma la TBC kudharau shughuli za Bunge.
Aidha kipekee niipongeze sana Kampuni ya Azam Media ambayo mtandao wake unazidi kusambaa kila siku na kuzihudumia nchi jirani za Kenya, Uganda, Zimbabwe na Malawi.
Lakini pia jambo kustaajabisha AZAM Tv ambacho ni chombo binafsi lakini kinalipa heshima na uzito unaostahili Bunge la Tanzania kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja (live coverage) bila kukatakata kuanzia kipindi cha maswali na majibu saa 3 asubuhi hadi saa 7 kamili mchana.
Mpina aache kusaka kiki za kijinga. Wakati Magufuli anazuia bunge live ili watu wafanye kazi mbona hakuongea? Sasa hivi hatuna mpango na hilo bunge kibogoyo, ndio Mpina anajitokeza kujiliza bunge lionyeshwe. Asipoteze muda wake, kwa Sasa hilo bunge la majizi ya kura halina mvuto.