The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
"suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha ACT wazalendo na ndio msimamo wa Mgombea Urais na Makamu wake kama, sisi chama na mgombea tunayo magari ya kutosha yanayotuwezesha kuzunguka nchi nzima kwenye kampeni kwa nini tulichukue hili gari la Watanzania ambalo linaweza likafanya kazi nyingine lakini la pili tulitaka ikawe 'hapa kazi tu'. Sasa kama tunataka ikawe kazi tu halafu tena huku na gari tena" - Luhaga Mpina