Kama ikitokea kashinda itabidi wamtangaze tu.Ila hata asiposhinda lazima ataleta jamba jamba kwa Samia.Ulijua kuwa menykiti wako ni dikitaita, hataki uweli. Ilibidi uwe mnafiki upite, then uushabulie injustices ulizokuwa unaziona.
Huko ACT ulikokwenda, unaweza kushinda, wananchi wanakuhitaji, je watakutangaza?
View attachment 3432254