Luhaga Mpina vs Tundu Lissu, nani ni Mzalendo wa kweli?

Luhaga Mpina vs Tundu Lissu, nani ni Mzalendo wa kweli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea

Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize

Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni plea bargaining tu?

Watanzania Siyo Wajinga by JPM
 
Uzalendo unapimwa kwa matendo Bwashee! Na siyo kwa maneno, au kwa kumlinganidha huyu na yule!

Uzalendo unaishi moyoni!
 
Lissu? Huyu huyu aliyekimbia familia na mke kisa mzungu?
 
Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea

Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize

Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni plea bargaining tu?

Watanzania Siyo Wajinga by JPM
Rubbish, define kwanza uzalendo, then from there you can compare the two! short of that wewe ni illiterate wa Lumumba!
What is to define? to say what a thing is and what it is not, mkikubaliana hapo then mnaanza kuona hicho kitu kina fall katika category ipi i.e kama kina characteristics mlizo zi identify!
 
Luhaga mpina ni kiongozi shupavu,mwenye siasa za kweli kumtetea mwananchi mnyonge wa nchi hii.

Dhidi ya madhulumati yaliyojificha mdani ya vhama chake!

Anajitolea kwa hali na mali bila kujali consequence za mafisadi waliojazana kwenye chama chao!
 
Back
Top Bottom