johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rubbish, define kwanza uzalendo, then from there you can compare the two! short of that wewe ni illiterate wa Lumumba!Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea
Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize
Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni plea bargaining tu?
Watanzania Siyo Wajinga by JPM