Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania.
“Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara lile, mara huyu anabipu tu. Hamna kitu, hao wanafanya maigizo. Nikasema ninyi hamnijui,” amesema Mpina akiwataka wananchi kupuuza kauli zinazopingana na safari yake ya kisiasa.