Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
 
Ccm hawapendi ukweli wana allergy na ukweli wa mambo.

Shetani anaogopa ukweli mana ukweli utamvua nguo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom