Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 1,604 Reaction score 3,715 Nov 19, 2022 #1 Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Nov 19, 2022 #2 Shujaa gani! Shujaa ni mmoja tu Majaliwa
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Nov 19, 2022 #3 Mwizukulu mgikuru said: Shujaa gani! Shujaa ni mmoja tu majaliwa Click to expand... shujaa wa nani? Labda shujaa wa CCM.
Mwizukulu mgikuru said: Shujaa gani! Shujaa ni mmoja tu majaliwa Click to expand... shujaa wa nani? Labda shujaa wa CCM.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Nov 19, 2022 #4 Ccm hawapendi ukweli wana allergy na ukweli wa mambo. Shetani anaogopa ukweli mana ukweli utamvua nguo. #MaendeleoHayanaChama
Ccm hawapendi ukweli wana allergy na ukweli wa mambo. Shetani anaogopa ukweli mana ukweli utamvua nguo. #MaendeleoHayanaChama