Pre GE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

Pre GE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yani nisikufiche wananchi tumewachoka woteeeee.!! Ni basi tyuuu hatuna la kuwafanya. Ila wote tumewachoka. Hao wanaowasapoti ni wanufaika wenzao šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Upinzani wa serikali dhalimu mara zote upo moyoni vyama vya siasa vina mamluki wengi .
 
Kwamba Mpina atajiunga na chama kingine? Alafu apewe nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Rais? Hilo sidhani kama litatokea, kiufupi zama sasa zimebadilika na hiyo ni mbinu ya kizamani.
 
Kwamba Mpina atajiunga na chama kingine? Alafu apewe nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Rais? Hilo sidhani kama litatokea, kiufupi zama sasa zimebadilika na hiyo ni mbinu ya kizamani.

Anaweza kutumika kupunguza kura tu za upinzani kuna vyama vya CCM kama CUF na NCCR mageuzi tusishangae Mpina ni mgombea huko
 
Back
Top Bottom